KARIBU KATIKA UKURASA WA HABARI ZA KIJAMII : BlogTZ
Wasiliana nasi: mkakatz@gmail.com +255 786 555 460
October 12, 2012
mambo ya kitaa Nigeria
Nchini Nigeria,
mtaa wa mabanda wa Makoko (katika picha), ambao unaelea kwenye maji taka, unatarajiwa kubomolewa na maafisa wa utawala wa mitaa.
Pichani wanaoneka vijana wadogo wakiendesha mitumbwi kwenye dimbwi hilo bila wasiwasi.
Newer Post
Older Post
Home