![]() |
| Mtuhumiwa akishikishwa adabu na kwa kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali |
![]() |
| "Nitamlipa hela yake yote leo..nimekoma sirudii" mtuhumiwa alisikika akijitetea kwa bidii. |
![]() |
![]() |
| Aliyetapeliwa akaamua kumnusuru mtuhumiwa wake asichomwe moto maana angekosa anachodai |
![]() |
| Bado aliendelea kukimbizwa.......! Ni hatari |









