December 25, 2012


Wakristo duniani hii leo wanaadhimisha siku kuu ya Krismasi siku ambayo wanakumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristu mjini Bethlehem