January 19, 2013


ANUSURIKA KUUAWA KWA WIZI WA MOTA  ENEO LA ILOMBA MKOANI MBEYA

JAMAA ANAEHISIWA KUWA MWIZI WA MOTA AMEPATA KIPIGO KIKUBWA NUSURA AUWAWE KWA HASIRA ZA WANANCHI AMEJULIKANA KWA JINA MOJA TU WILLY
JAMAA HUYU INASEMEKANA NI MZOEFU SANA WA WIZI ANATAFUTWA SANA ENEO LA ISYESYE JIJINI MBEYA KWA TUHUMA ZAKE ZA WIZI
HII NDIYO MOTA ALIYOKUTWA NAYO HUYO ANAEHISIWA KUWA MWIZI
JAMAA ASHUKURU POLISI LASIVYO MAUTI YANGEMKUTA


PICHA NA MBEYA YETU