Ingawa mikutano ya Tume iliyolenga kukusanya maoni binafsi ya wananchi imemalizika, wananchi wanaweza kuendelea kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya kupitia:
i. Na. 0774/0767/0715/0787-081508;
ii. Email - maoni@katiba.go.tz;
iii. S.L.P. 1681 Dsm au S.L.P. 2775, Zanzibar;
iv. Kupitia tovuti - www.katiba.go.tz; na
v. Ukurasa huu wa facebook ya Tume.
Toa Maoni, Tupate Katiba Mpya
