January 06, 2013


WACHA PICHA ZIONGEE NA MANENO MACHACHE

Teknolojia ya mtaa huu dhidi ya ndege waharibifu.

Michezo yetu.

Wataalamu wa kesho.

Mkulima safarini.

Supa utelezi...

Shehena.
Barabara za Rock City.

SWALI TOKA KWA MDAU: HIVI TANESCO MKOA WA RUVUMA WALIKOSA NGUZO HADI KUFANYA HIVI ?


Hizi ni moja ya nguzo za umeme zikiwa zimeungwa kienyeji ili kukidhi mahitaji !!!! 

Tatizo la kutokuwa na umeme wa uhakika litaisha kweli...? kama umakini wenyewe ndiyo huu !!!!