May 01, 2013

ZIARA YANGU KATIKA KISIWA CHA MBUDYA KUNDUCHI DAR ES SALAAM

 Mandhari ya ufukwe kundhuchi beach hotel jijini Dar es salaam



Wapiganaji juu na chini katika [icha hizi, wakihangaika na maisha ya uvuvi kutafuta riziki ndani ya bahari ya hindi umbali kidogo kutoka hotel ya kunduchi

 kisiwa cha mbudya kinavyoonekana ukiwa umbali fulani kabla ya kukifikia
 msitu huu wa kuvutia
Boti ikiwa imetiwa nanga  kando ya kisiwa hicho
                                      Wavuvi wakiwa ndani ya mashua hii kama walivyoonekana kwa mapozi yao
                                      Mandhali ya vijumba vya asili na kitalii vikionekana kuvutia


 Hapa nakutana na wadau wakiwa na samaki huyu jamii ya star fish
Msitu wa kutosha uko huku ingawa muonekano wake ni kwamba ni msitu unaotunzwa vizuri kwa manufaa fulani ya kibiashara........
 Huku nakutana na msosi huu mtamu kwa kila mtu japo kwa gharama ya kitalii


mwishowe ni kurudi ufukweni - kunduchi baada ya kujifunza mengi kuhusiana na kisiwa hiki chenye historia kemkem za kuvutia na kujifunza ...........