( "Omushonge" huko Kagera) au (Msonge) ni nyumba za asili ambazo hadi leo zinatumika katika maisha ya kawaida vijijini hususani kwa wale wanaopata fursa ya kufuatilia asili yao kabla ya kujiwekeza katika miji na majiji!
Tusisahau asili yetu.............