September 24, 2012

MAHAFALI YA 5 KWA KIDATO CHA NNE BAOBAB SEC. SEPT 22,2012



 Mkuu wa shule akitoa salamu za shule na kutambulisha viongozi na waalikwa mbalimbali waliohudhulia mahafali hayo.

 Sehemu ya wanafunzi wa vidato mbalimbali wakiwa katika pozi!

 Makamu mkuu wa shule akisoma risala ya shule kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa shule hiyo.Risala hiyo ilieleza kwa kinaga ubaga mambo mazuri yanayopatikana Baobab Sekondari.

 Sehemu ya wahitimu wakishiriki kuimba wimbo (kwaito) na kuibua nderemo na vifijo toka kwa kila kona ya aliyekuwa eneo hilo

 Juu na chini picha za sarakasi ya wanafunzi zinadhihirisha kuwa michezo katika shule hii ni kipaumbele cha haja kama picha zinavyojieleza.

 Mhe. Mgeni rasmi katika mahafali hiyo ni Mama Rosemary A.Lulabuka ( Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania-TEA-) akihutubia katika mahafali hiyo.
 Fashion show...................



 Ngoma inogile.....................

 Mkurugenzi Mkuu wa Shule akitoa salaam za shukurani katika mhafali hiyo.