Mbunge Viti Maalium (CCM) Mhe.Dr. Mary Mwanjelwa ni miongoni mwa majeruhi waliokimbizwa kwa matibabu katika
Hospitali ya Fisi Mbeya, baada ya kupata ajali mbaya ya gari iliyohusisha zaidi ya gari tatu eneo la Mbalizi mkoani Mbeya tarehe 02 Oct.2012
FUATILIA MTIRIRIKO HUU WA PICHA ZA AJALI HIYO YA KUTISHA..........