CHADEMA YAMNADI MGOMBEA WAKE WA UDIWANI SHINYANGA Dkt.Willbroard Slaa akimnadi mgombea wa kiti cha udiwani kwa tiketi ya CHADEMA kata ya Mwawaza,Shinyanga.
Dkt.Willbroard Slaa akihutubia umati wa wananchi wakati wa kumnadi Diwani huyo.
Sehemu ya Umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo.