October 17, 2012


Kamata kamata ya daladala zenye ubovu uliokithiri katika kituo cha daladala Mwenge Jijini Dar Es Salaam.
 Katika picha  dereva wa daladala  pichania akisaini kitabu cha malipo ya faini baada ya kuandikiwa makosa ya gari lake ndani ya kituo cha daladala mwenge
 Askari wa kikosi cha usalama barabarani (traffic) akimwandikia kosa dereva ambaye gari lake lilibainika kuwa katika route bila honi wala indicator [kiashilia] Katikati ni utingo wa gari hilo(konda).
 Afande Insp. Nestory Ndenje akisaini kitabu cha malipo ya faini huku dereva wa gari lililobanika na kosa akiangalia kwa umakini na kusubiri kusaini pia

Operesheni hii ni kukamata magari yote yenye makosa mbalimbali yakiewemo ya,
kushusha pasipokituo,kukatisha route, kuvaa sare chakavu, kuendesha daladala bila kuvaa sare, leseni, kupakia pasiporuhusiwa, kutanua pasiporuhusiwa, kutoza nauli zaidi kwa wakati wa wingi wa abiria nk.