Serikali yapiga marufuku Vipindi vya Redio na Televisheni Vya Jumuia ya Uamsho.
Sheikh Farid Kiongozi wa UAMSHO amepatikana usiku wa kuamkia leo. Awali wafuasi wake waliipa serikali masaa 26 amri ya kupatikana kwa kiongozi wao leo alasiri ama wangeamua vinginevyo!