October 20, 2012

KIONGOZI WA UAMSHO NA FAMILIA YAKE LEO

Kiongozi wa Jumuiya ya uamsho Sheikh Farid akiwa nyumbani kwake na Ndugu /familia yake  baada ya kutoweka kusiko julikana na hatimaye kurudi akiwa salama usiku wa kuamkia leo.