October 17, 2012

KUTOKA KWA KINYOZI SOMALIA

Photo: Miongoni mwa askari wanaolinda usalama nchini Somalia akinyolewa nywele huku akiwa ameshikilia bunduki nchini humo.
Moja ya  askari wanaolinda usalama nchini Somalia akinyolewa nywele katika saloon huku akiwa ameshikilia bunduki [mtutu] kujihami kwa chochote nchini humo.