October 17, 2012

My Class met At Mwasec..........!

BLOGGER:Yakubu Mkaka [blogtz] katikati nikiwa na MAPACHA  Kulwa[kulia] na Dotto[kushoto] katika pozi la SNAP hii ya kumbukumbu baada ya kitambo kirefu kupita bila kuwa pamoja kama ilivyotokea tukakutana na kufurahi..
'Tulikumbushana mengi ya class na story za skonga enzi hizo'