PROFESA MUKANDALA AZINDUA MWAKA WA MASOMO 2012/2013 DUCE
Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza S. Mukandala, akizindua mwaka wa masomo 2012/2013 kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu kishiriki (DUCE) Jijini Dar Es Salaam.
(