Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika katika Ukumbi Mwl. Nyerere Mjini Dodoma leo Oktoba 20, 2012, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa aliyetetea kiti chake akiwa katika furaha kwa kutetea tena kiti chake.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo Mjini Dodoma.
Picha na OMR