November 27, 2012

JK Atoa WIto Kwa Taasisi Za Kibenki Nchini


 Rais Jakaya Kikwete amezitaka taasisi za fedha nchini kujenga mazingira yatakayowavutia wananchi wengi kuweza kutumia huduma za kibenki bila usumbufu kwa kuondoa masharti na vikwazo visiyo ya lazima.

Rais kikwete alitoa wito huo tarehe 27/11/2012 kwa Taasisi hizo wakata akihutubia na kufungua mkutano wa 16 unaowakutanisha Wakurugenzi na Viongozi mbalimbali wa Taasisi za Kibenki Hapa nchini. Mkutano huo unafanyika jijini Arusha.