December 13, 2012


KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, Mhe.MBARAK ABDULWAKIL  AFUNGA MAFUNZO YA AWALI CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA MKOANI MBEYA



Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mbarak Abdulwakil akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya awali kozi namba 26 wa Chuo Cha Magereza Kiwira Mkoani Mbeya.
   
                  Gwaride la wahitimu likipita mbele ya Mgeni Rasmi  kwa heshima.
   
   



   
Wahitimu wa mafunzo ya awali ya kozi namba 26 wa Chuo cha Magereza, Kiwira Mkoani Mbeya wakionyesha uwezo wao wa kujihami wanapopambana na adui.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akimkabidhi Jesca Simatya zawadi ya heshima kwa kuwa mwanafunzi bora kwa usafi chuoni hapo.