MABASI YA ABIRIA SASA YAANZA KUPITA NJIA YA BAGAMOYO
Baadhi ya Mabasi ya Abiria yafanyayo safari zake kati ya Tanga - Dar yakipita kwenye Barabara ya Bagamoyo wakati yakitokea Mkoani humo kuja Jijini Dar.
Basi la Ngorika linalotoka Arusha likipita kwenye Barabara mpya ya Msata - Bagamoyo ambayo matengenezo yake yamebakia sehemu ndogo tu kufika mjini wa Bagamoyo.
Basi la kutoka Korogwe.
Basi la Simba Mtoto likipia kwenye barabara mpya likitokea Jijini Dar kuelekea Mkoani Tanga.Barabara hii ambayo bado inafanyika matengenezo,imebakia kipande kidogo sana kukamilika.