December 18, 2012


Mambo Ya Family Day Ya NMB - Arusha




Pichani ni wafanyakazi wa benki ya NMB wakiwa na familia zao kwenye sherehe za familia zilizoandaliwa na benki hiyo na kufanyika kwenye hotel ya Mount Meru jijiniArusha  mwishoniu mwa wiki.