December 22, 2012


MAPOKEZI YA MHE GODBLESS LEMA jijini ARUSHA LEO


Na Mroki Mroki, Arusha
MAPOKEZI ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo wakati wafuasi wa   Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema walipomiminika kwa Wingi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja vya Kilombero mjini hapa alipohutubia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini. SOMA ZAIDI:www.mrokim.blogspot.com