December 25, 2012


MBEYA INATISHA KWA AJALI ZA BARABARANI
ZAIDI YA ABIRIA 40 WALIOKUWEMO KWENYE BASI LA NEW FORCE WAMEPONA KUFA BAADA YA KUGONGANA NA ROLI AINA YA FUSO MAENEO YA PIPE LINE INYALA  BASI LA NEW FORCE LILIKUWALINATOKEA MBEYA KUELEKEA DSM TAREHE 23 DEC 2012. 

Hili roli aina ya fuso ndilo lililosababisha ajali hiyo kwani lilikuwa lilikuwalinalipita gari lingine bila ya kuangalia kama gari nyingine inashuka mlima na ndipo lilipokutana na basi hilo
Hii ndiyo hali halisi ya ajali hiyo dreva wa fuso kakimbia baada ya kusababisha ajali hiyo