December 21, 2012


MHe. GODBLESS LEMA ASHINDA RUFAA ya kesi yake NA KURUDISHIWA nafasi ya UBUNGE WAKE LEO

MH. GODBLESS LEMA AMERUDISHIWA UBUNGE WAKE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI BAADA YA KUSHINDA RUFAA YAKE LEO ILIYOKUWA IKISIKILIZWA KWENYE MAHAKAMA YA RUFAA JIJINI DAR ES SALAAM.