December 05, 2012

KANDORO ATEUA WAJUMBE WA KAMATI YA KUKUZA UTALII MKOANI MBEYA


Mkuu wa mkoa wa Mbeya ,Abbas Kandoro mwenye suti katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya kukuza  utalii mkoa huo aliyoiteua hivi karibuni. (Picha na Chiristopher Nyenyembe ,Mbeya)