SHOW YA KOFFI JIJINI MWANZA
![]() |
Koffi olomide akitambuklisha kwa mashabiki wake mmoja kati ya wasanii wa nyumbani aliyemvutia Mwanadada Recho toka THT. |
![]() |
Koffi Olomide akiliongoza skwadi lake la madensa jukwaani,full kujiachia. |
![]() |
Pichani shoto ni msanii kutoka THT,Rachel akionesha umahiri wake wa kucheza lingala huku Koffi Olomide akidekshia kwa mbaali hivi,palikuwa hapatoshi watu wangu. |
![]() |
Mwimbaji nyota wa Koffi Olomide,Cindy nae akionesha umahiri wake wa kujimwaya mwaya jukwaa,huku mashabiki (hawapo pichani) wakipiga miluzi na mayowe. |
![]() |
Wadau nao wakijichukulia taswira zao kwa ajili ya kumbukumbu. |
![]() |
Wakazi wa Mwanza walipfika kwenye uwanja wa ccm-kirumba walijionea vilivyo kwamba Koffi Olomide na kundi lake zima la Quartie Latin bado ni moto wa kuotea mbali. |
![]() |
Burudani ikiendelea jukwaani. |
![]() |
Lwaaaaa....!! |
![]() |
Madansa wa Koffi Olomide wakipanda jukwaani kwa staili ya kipekee kabisa tayari kuangusha bonge la burudani kwa washabiki na wapenzi wa kundi la Quartie Latin. |