December 12, 2012

Tatizo la Maji Katika Vijiji Vyetu Wizara mpo ??!!


Hawa ni wanafunzi katika shule ya msingi Kidagulo ambao wanasafiri umbali mrefu kwa lengo la kutafuta maji hali ambayo inaathiri taaluma yao...