Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Jordan Rugimbana akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa maonyesho ya pili ya Tanzania Homes Expo
Maonyesho hayo yanayofanyika katika viwanja vya wazi Mlimani City jijini Dar Es Salaam.
kuanzia Tarehe 7 - 9 Desemba 2012.
Watu wote mnaalikwa kuja kujionea wenyewe bidhaa mbalimbali kutoka katika makampuni mbalimbali ya ndani ya nchi.
Furahia picha zifuatazo kutoka eneo la maonyesho.
Juu ni picha za mambo yanayopatikana kutoka SEA BREEZE RESIDENTIAL COMPLEX
Team crew
Mambo ya Star Times
Mteja akishuhudia king'amuzi chake kikandaliwa aondoke nacho baada ya kukilipia kutoka banda la Star Times kama unavyoshuhudia mwenyewe. Pembeni ni mama akisubuli kuhudumiwa pia.
Ili kupata mengineyo zaidi tembelea maonyesho haraka kabla hayajaisha