December 29, 2012


TRELA LA LORI LATEKETEA KWA MOTO MCHANA HUU

Trela la lori lililokuwa limebeba mafuta likiteketea kwa moto mchana huu eneo la Kibamba Darajani jijini Dar es Salaam.haijafahamika mara moja chanzo kutokea kwa moto huo.