
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia hati ya bima yake ya maisha baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Justine Mwandu jana Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya Shirika la Bima la Taifa kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake Bw. Justine Mwandu jana Ikulu jijini Dar es salaam.Shirika hilo ambalo limefufuk upya linaadhimisha miaka 50 ya kuanzisha kwake mwakani.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikilzia kwa makini hotuba fupi kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bima ya Afya kabla ya kumkabidhi Rais Jakaya Kikwete bima yake ya maisha jana Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiushukuru uongozi wa Shirika la Bima la Taifa baada ya kupokea hati ya bima yake ya maisha jana Ikulu jijini Dar es salaam.
Picha na IKULU