January 21, 2013


BREAKING NYUUZZZZ.....: 

UKUTA WA STENDI YA MABASI UBUNGO WAANGUKIA MAGARI LEO

TAARIFA ILIYOTUIFIKIA HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA SEHEMU YA UKUTA WA MAEGESHO YA MAGARI YA WATU WANAOSINDIKIZA ABIRIA KWENYE STENDI KUU YA MABASI YAENDAYO MIKOANI UBUNGO BUS TERMINAL, JIJINI DAR UMEANGUKA NA KUANGUKIA BAADHI YA MAGARI YA WATU YALIYOKUWA YAMEEGESHWA KATIKA SEHEMU HIYO.

HAIJAFAHAMIKA MARA MOJA CHANZO CHA KUANGUKA KWA UKUTA HUO NA HAKUNA MTU YEYOTE ALIEDHULIKA NA AJALI HIYO ZAIDI YA MAGARI HAYO KUHARIBIKA VIBAYA.

TUTAWAJUZA ZAIDI KADRI TAARIFA ZITAKAVYOTUJIA TENA.....!