DKT. HARRISON MWAKYEMBE ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA
| Mmoja ya wahandisi wa ujenzi wa uwanja huo wa songwe akimwelezea waziri wa uchukuzi Dk Mwakyembe akimwelezea hatuza za mwisho za ujenzi wa maegesho ya ndege kubwa |
| Mkuu wa majeshi Tanzani Jenerali Davis Mwamunyange akisalimiana na kuagana na RPC wa Mbeya Mh.Diwani, katika kiwanja hicho cha songwe kabla ya kuanza kwa ziara ya waziri wa uchukuzi Dkt. Mwakyembe |
| Jenerali Mwamnyange akiondoka uwanjani hapo kurejea Dsm alikuwepo Mbeya kwa mapumziko Mafupi |
| Huu ni mnara wa kuongozea ndege katika kiwanja hicho cha Songwe Mbeya |
| Mwongoza ndege mwandamizi John Chambo akimwezea waziri Mwakyembe jinsi wananvyofanya kazi ya kuongoza ndege katika mnara huo |
| Mkuu wa kitengo cha hali ya hewa Issa Hamad akimwelezea waziri mwakyembe juu ya shughuli zoa za upimaji wa hali ya hewa uwanjani hapo na mkoa kwa ujumla kuwa |
| Hili ndilo eneo la maegesho ya ndege kubwa aina ya boing 737 ambalo mwishoni mwamwezi huu wa kwanza litakamilika |
| Hili ni eneo la kutua ndege na kurukia barabara hiyo ya ndege inaurefu wa zaidi ya kilometa 3.5 km |
| Hii ni sura ya mbele ya uwanja huo wa songwe Mbeya |
| Hili ni jengo la kikosi cha zimamoto uwanjani hapo |
| Picha kwa hisani ya Mbeya yetu |