January 06, 2013


MH.MULUGO AZINDUA OFISI YA WAENDESHA BAJAJI MBEYA NA KUCHANGIA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MOJA KUTUNISHA MFUKO WAO WA KUSAIDIANA 

Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Mh.Philipo Mulugo akikata utepe kuzindua na kufungua ofisi ya waendesha bajaji mkoa wa Mbeya eneo la isanga
Naibu waziri Mulugo akishangiliwa na wanachama wa chama cha waendesha bajaji mkoa wa Mbeya mara baada ya kuzindua ofisi yao
Mweshimiwa naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi akiwahutubia wananchi waliofika katika uzinduzi huo
Hapa mweshimiwa Mulugo akishirikiana na waendesha bajaji katika kucheza na kufurahia uzinduzi wa ofisi hiyo
Mara baada ya kumaliza hotuba yake akisindikizwa na wanachama wa chama cha waendesha bajaji kwenda kupanda bajaji na kumrudusha akapumzike
Safari ya kwenda kupumzika imewadia anarudishwa na bajaji hadi kwakwe