January 20, 2013


MHE. MIZENGO PINDA KUHAMASISHA UCHANGIAJI VICOBA KWA WALEMAVU

IMG_0129
Mhe.Pinda akimjulia hali mtoto Abrahamu Omari (miezi 3) ambaye amebebwa na mama yake mwenye ulemavu wa ngozi (Bi.Amina Fadhilinyuma) pembeni ni M/kiti wa Makampuni ya IPP Bw.Reginald Mengi ambaye ndiye aliandaa chakula kwa walemavu katika kuukaribisha mwaka mpya 2013.
IMG_0108
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiasalimiana Regina Mengi  mtoto wa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP .
IMG_0139
Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anasalimiana na Redds Miss Tanzania Brigiter Alfred amabaye alikuwa ni miongoni mwa wageni walikwa katika kushiriki chakula cha mchana na walemavu kilichoanadaliwa na Mweyekiti wa Makampuni ya IPP Mzee Mengi Picha na Chris Mfinanga
IMG_0147
Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwahutubia walemavu walio alikwa katiaka cha mchana kilicho anadaliwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Reginali Mengi katika kukaribisha mwaka mpya wa 2013 waziri mkuu alikuwa mgeni rasimi katika  hafla hiyo Picha na Chris Mfinanga