WAKATI JK AKIZINDUA MIRADI YA HUKO TABORA
WATANI ZAKE (WASUKUMA) NAO WANALIA NA HALI HII YA DARAJA.
![]() |
Daraja hili mbao zake zimesagika kabisa kiasi cha kufanya magari yanayopita kutumia daraja hili muhimu kupita kwa mwendo wa kusuasua yakihofia kukumbwa na maafa. |
![]() |
Hili ndio daraja la Sukuma. |