NA RAIS MSTAAFU BENJAMINI W. MKAPA: "TUSOME TANZANIA"
Rais Mstaafu Mhe. Benjamini William Mkapa akiwasomea hadithi mbalimbali na kuwauliza maswali mbalimbali watoto ambao ni wanafunzi toka shule mbalimbali katika viwanja vya Makao Makuu ya Maktaba ya Mkoa jijini Dar es Salaam tarehe 11 oktoba 2013