January 11, 2015

NAMKUMBUKA BABU YANGU - SHEIKH ABDALLAH MKAKA


leo nimemkumbuka Marehemu Babu yangu Mzee Abdallah sheikh - mkaka pichani juu enzi za uhai wake kijijni Kijongo wilaya ya Bukoba vijijini .
Hapo alikuwa anaomba dua ya kufunga hadhara ya sherehe kijijini hapo mwaka 1997
Babu alifariki dunia mwaka 1999 akiwa na umri wa miaka 109