March 15, 2013

WADAU NILIKUWA KIMYA NIKIWA MIKOANI KWA ZIARA MAALUM

 Hapa ni kisiwani Ukerewe vijijini nilikutana pia na wakulima wa mpunga wa kula tu !!!!
Mashamba ya mpunga kisiwani Ukerewe

 Wakulima wa mpunga wakipanda na kupalilia mpunga katika mazingira kama yanavyoonekana
Nikapigiwa simu na mdau na kugundua kuwa mitandao ya simu za mikononi visiwani ni ya kumwaga !