September 28, 2012

AJALI ZA PIKIPIKI HATARI TUPU

Tuwe waangalifu na vyombo hivi.!
Jiulize ............kwanini ongezeko la ajali hizi leo? Mbona pikipiki zilikuwepo tangu siku nyingi lakini ajali zke zilikuwa chache sana!!!!!!!!!!!?
Tuchukue hatua.............vinginevyo hali ni mbaya!!!!!!!!