September 27, 2012

BONGO JIJI LA LAWAMA !!!

Ili twende sawa, Bongo ukimwaga Ugali Wanamwaga Mboga.
Kijana huyu baada ya kujilenga pagumu alijikuta anapata kipigo kikali nusu ya kuuawa kutoka kwa wananchi wenye hasira kali kwa wezi wote wenye tabia za namna hii mbaya katika jamii ....