Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Haki ya Kujua Duniani yamesheherekewa leo katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam.Maadhimisho hayo yalishiriksha Wasemaji kutoka katika Taasisi mbalimbali za hapa nchini.Miongoni mwa taasisi zilizohudhuria ni , Media Council of Tanzania - MCT, Media Institute Of Southern Africa - MISA na Tanzania Citizens' Information Bureau - TCIB
Blog hii ya Jamii itahabarisha zaidi juu ya hafla hiyo katika makala maalumu ya shughuli nzima hivi punde......
Kaa mkao wa kutimiziwa haki yako ya kujua habari
Kwa sasa fuatilia picha chache za sherehe hizo hapa chini
Ayoub Ryoba
Mjomba Music Band
Vicky Nketema ( Under The Same Sun Director General )
Mohammed Tibanyendera (kushoto) M/kiti MISA-TAN
Mohammed Tibanyendera
Jabiri Idrisa Mhariri wa Habari gazeti la MwanaHalisi.