September 28, 2012

RAIS KIKWETE AWAAGA MABALOZI WA IRAN NA CUBA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewaagana Mabalozi wa Iran, Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi na Mhe. Ernesto Gomes Dias  wa Cuba waliokuwa wakiziwakilisha nchi zao hapa nchini baada ya kumaliza muda wao wa kipindi cha ubalozi hapa nchini Tanzania. 
Mabalozi hao wameagwa  leo Sept 28, 2012  Ikulu Jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na kuagana na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania aliyemaliza muda wake  Mhe Ernesto Gomes Dias leo Sept 28, 2012 
Ikulu Jijini DAr es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake  Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi leo Sept.28, 2012.
  Ikulu Jijini Dar es salaam. 
Picha na IKULU