September 30, 2012

MKULIMA KAA SAWA MVUA ZA VULI HIZOOOO ZAJA

 Mkulima anapoandaa shamba huko vijijini/mashambani hujenga matumaini ya kupanda mazao yatakayomnufaisha na kukidhi mahitaji muhimu katika maisha. Mijini maadalizi haya ni tofauti. Vijana tunasaka Dili za kupata noti tu !!!!
 Kushoto ni kijana( teja ) akiwa katika pozi la fikra za majuu..
.


                                               KILIMO CHA MBOGA MBOGA - MCHICHA

Kilimo cha mchicha bila usafi na uangalizi wa karibu madhara yake ni makubwa kwa afya za walaji hususani mijini ambako mchicha hutumika zaidi .