Hapa kachukua mzigo na kuukagua vizuri kama unamfaa !
Hapa akaufungua mzigo kwa umakini wa hali ya juu !!!!!!!!!!
Kala mpaka tone la mwisho na kujilamba
Akashukuru kwa staili hii
Akaaga na kuondoka zake