Hizi ni ofisi kama ofisi zingine kwetu mijini. Ofisi hizi hukidhi mahitaji muhimu ya kimaisha hususani ukipata nafasi ya kuzungumza kwa kina na wamiriki wake juu ya changamoto za kibiashara na mfumo wa mapato na namna wanavyoweza kukabiliana na hali ya ukata wa maisha kwa kipindi ambacho bidhaa zinapoadimika na wakati wa mvua za mfululizo kwa mazingira ya kibiashara (kando ya barabara).