September 27, 2012

mkutano-wa-chadema-jijini-arusha-sept 25. 2012

Mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo katika picha, mkutano huo umefanyika baada ya kuzuiwa kwa takribani siku nne kwasababu mbalimbali ikiwemo kunyimwa uwanja wa NMC na Leo umefanyika kwenye stand ndogo ya Nduruma karibu kabisa na hospitali ya Levolosi.

























Godbless Lema akinguruma katika jukwaa kushoto (in white shirt !)

Ikumbukwe chama cha CUF juzi jumapili kilishindwa kufanya mkutano wake kwenye uwanja wa soko la Mbauda baada ya kukomea watu kumi na moja tu.