September 27, 2012

WADAU WAKUTANA SERENA HOTEL JIJINI DAR

Wadau tukikutana inapendeza tukitengeneza pozi la kumbukumbu kama hii maana ujirudia kwake huwa ni nadra sana!
Kutoka kushoto ni Mdau G. Kasembe, Yakubu Mkaka, Stanley Ganzel na Albert Jackson. Pamoja sana!