Akizungumza wakati anakabidhiwa kadi alisema yeye ni wa kwanza tu kujiunga M4C lakini ndugu zake wote wapo mbioni kujiunga na anadhani baba yake pekee ndie atabaki CCM.
Viongozi wa Tawi la Chadema Houston wamkabidhi Kadi ya uanachama kwa Chadema
Ndg, Makongoro Wassira ambaye ni mtoto wa Waziri Wassira
CHADEMA