September 24, 2012

mwanzayetublog .blogspot.com

mwanzayetublog.blogspot.com
Hii ni miongoni mwa blog za jamii zilizo chini ya  STUDIO FIVE & NEWS Tanzania.
Lengo likiwa ni kupanua wigo wa kihabari hususani Habari za kijamii zinazojili katika Mkoa wa Mwanza na Mikoa jirani.
Pia blog hii ya jamii itajikita katika Matangazo ya Kibiashara, Bidhaa mbalimbali, Hoteli,  nk.
Tunatoa fursa kipekee kwa wanajamii wa kanda ya ziwa kujitangaza zaidi kupitia blog hii ya jamii.
www.mwanzayetublog.blogspot.com